
kiswa 8
Authored by benson mbugua
Other
8th Grade
Used 36+ times

AI Actions
Add similar questions
Adjust reading levels
Convert to real-world scenario
Translate activity
More...
Content View
Student View
25 questions
Show all answers
1.
MULTIPLE CHOICE QUESTION
45 sec • 1 pt
Chupa ni chombo cha kutilia vitu vya majimaji chupa pia ni;
Vazi la kusitiri uchi
Nguo kurefuka
Kumwadhibu mtoto
Fuko la uzazi mwilini
2.
MULTIPLE CHOICE QUESTION
45 sec • 1 pt
Akisami 5/8 kwa maneno ni
humusi tano
humusi nane.
thumni tano
thumni nane
3.
MULTIPLE CHOICE QUESTION
45 sec • 1 pt
Bainisha matumizi ya kwa katika sentensi ifuatayo;Alikimbia kwa kasi akaibuka mshindi
kuonyesha sababu ya kutenda
kuonyesha nama ya kutenda
kuonyesha sehemu ya kutenda
kuonyesha pamoja na
4.
MULTIPLE CHOICE QUESTION
45 sec • 1 pt
Tegua kitendawili kifuatacho; Wamo shereheni wanakula bila mwaliko.
nzi
wezi
wageni
moto.
5.
MULTIPLE CHOICE QUESTION
45 sec • 1 pt
Andika kisawe cha methali ifuatayo;Ng’ombe wa maskini hazai jike.
liandikwalo ndilo liwalo
dau la mnyonge haliendi joshi
baada ya dhiki ni faraja.
mnyonge kapata haki ni mwenye nguvu kupenda.
6.
MULTIPLE CHOICE QUESTION
45 sec • 1 pt
Kitenzi legea kinatupatia sifa gani?
ulegevu.
legeza
kulegea.
legevu.
7.
MULTIPLE CHOICE QUESTION
45 sec • 1 pt
Kamilisha nomino ambata Komba
Maji
jungu
Mwiko
kumbi
Access all questions and much more by creating a free account
Create resources
Host any resource
Get auto-graded reports

Continue with Google

Continue with Email

Continue with Classlink

Continue with Clever
or continue with

Microsoft
%20(1).png)
Apple
Others
Already have an account?