Sarufi :Aina Za Maneno.

Sarufi :Aina Za Maneno.

5th - 12th Grade

25 Qs

quiz-placeholder

Similar activities

EPP

EPP

5th Grade

20 Qs

KUIS JEPANG

KUIS JEPANG

12th Grade

20 Qs

KEREBİ GAZİ İHO MİNİ DENEME SINAVI-1

KEREBİ GAZİ İHO MİNİ DENEME SINAVI-1

8th Grade

20 Qs

(2nd Quarter) 4th Summative Test in ESP

(2nd Quarter) 4th Summative Test in ESP

5th Grade

20 Qs

Preposiciones y locuciones preposicionales

Preposiciones y locuciones preposicionales

10th Grade

20 Qs

ESP 9 “Mga Mapamiliang Track sa Senior High School!”

ESP 9 “Mga Mapamiliang Track sa Senior High School!”

9th Grade

20 Qs

Japanese test 1

Japanese test 1

7th Grade

20 Qs

BAHASA IBAN (MUDAH)

BAHASA IBAN (MUDAH)

6th Grade - Professional Development

20 Qs

Sarufi :Aina Za Maneno.

Sarufi :Aina Za Maneno.

Assessment

Quiz

Other

5th - 12th Grade

Medium

Created by

Frank Omuka

Used 9+ times

FREE Resource

AI

Enhance your content

Add similar questions
Adjust reading levels
Convert to real-world scenario
Translate activity
More...

25 questions

Show all answers

1.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

45 sec • 1 pt

Hizi ni nomino za aina gani ?(Tanzania, Nairobi, Anita, Athi, Kimbo)

Kawaida

Pekee

Dhahania

Wingi

2.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

45 sec • 1 pt

maji, maziwa, changarawe, pesa:Hizi ni nomino za aina gani?

kawaida

Pekee

Kitenzijina

Wingi

3.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

45 sec • 1 pt

Taja aina ya nomino zifuataza:


upendo, furaha, imani, elimu, ndoto, mawazo, maisha, usingizi

Dhahania

fungamano

pekee

kawaida

4.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

45 sec • 1 pt

Taja aina ya nomino zifuatazo:


kulima, kuongoza, kucheza, kulala

Wingi

funngamano

kawaida

kitenzijina

5.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

45 sec • 1 pt

Hizi ni nomino gani?: jozi la viatu, umati wa watu, bustani la maua, bunga la wanyama

kawaida

wingi

jamii

pekee

6.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

45 sec • 1 pt

Nyumba, mbuzi, daktari, soko, kalamu, jua:hii ni aina gani ya maneno?

wingi

Kawaida

Makundi

Jamii

7.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

45 sec • 1 pt

Maneno ambayo ni majina ya watu, vitu, hali huitwa?

Vitenzi

Nomino

Vivumishi

Viunganishi

Create a free account and access millions of resources

Create resources

Host any resource

Get auto-graded reports

Google

Continue with Google

Email

Continue with Email

Classlink

Continue with Classlink

Clever

Continue with Clever

or continue with

Microsoft

Microsoft

Apple

Apple

Others

Others

By signing up, you agree to our Terms of Service & Privacy Policy

Already have an account?