
Luka 8-14
Authored by Elly Laur
Religious Studies
Professional Development
Used 1+ times

AI Actions
Add similar questions
Adjust reading levels
Convert to real-world scenario
Translate activity
More...
Content View
Student View
17 questions
Show all answers
1.
MULTIPLE CHOICE QUESTION
30 sec • 1 pt
na wanawake kadha wa kadha ambao walikuwa na pepo wabaya na magonjwa wakaponywa; nao ni Mariamu aitwaye Magdalene aliyetokwa na pepo saba....pamoja na wanawake wengine walikuwa na sifa gani ya ziada?
Walimsihi Yesu akae kwao
Walimhudumia Yesu kwa Mali zao.
Walikuwa wasomi wa sheria
2.
FILL IN THE BLANK QUESTION
1 min • 1 pt
Katika mfano wa mpanzi alioutoa Bwana Yesu, mbegu zinawakilisha au zina tafsiri ya .....
3.
MULTIPLE CHOICE QUESTION
30 sec • 1 pt
Hawa ndio wasikiao, kisha huja Ibilisi akaliondoa hilo neno mioyoni mwao, wasije wakaamini na kuokoka.
Wa kwenye mwamba
Kwenye njia
Kwenye miiba
Udongo mzuri
4.
MULTIPLE CHOICE QUESTION
30 sec • 1 pt
Na wale wa kwenye mwamba ....?
Husongwa na shughuli na mali na anasa za maisha
Hulipokea neno kwa furaha , wakati wa kujaribiwa hujitenga
Huzaa na kushika mizizi kwa kuwa zipo mwambani
Hilisikia neno la Mungu lakini hawalitendei kazi
5.
OPEN ENDED QUESTION
3 mins • 1 pt
Lk 8:51 SUV
[51] Alipofika nyumbani hakuacha mtu kuingia pamoja naye ila Petro, na Yohana, na Yakobo, na babaye yule mtoto na mamaye.
Kwa kutafakari kwako, kwanini Yesu aliamua kuingia na Petro, Yohana, Yakobo pamoja na wazazi wa mtoto pekee?
Evaluate responses using AI:
OFF
6.
FILL IN THE BLANK QUESTION
1 min • 1 pt
Ilikuwa miaka mingapi kwa mwanamke aliponywa na Yesu aliye kuwa akitokwa na Damu .....
7.
FILL IN THE BLANK QUESTION
1 min • 1 pt
Wakafika pwani ya nchi ya ..............................................inayoelekea Galilaya. Naye aliposhuka pwani, alikutana na mtu mmoja wa mji ule, mwenye pepo, hakuvaa nguo siku nyingi, wala hakukaa nyumbani, ila makaburini.
Access all questions and much more by creating a free account
Create resources
Host any resource
Get auto-graded reports

Continue with Google

Continue with Email

Continue with Classlink

Continue with Clever
or continue with

Microsoft
%20(1).png)
Apple
Others
Already have an account?