Swahili T2

Swahili T2

5th Grade

19 Qs

quiz-placeholder

Similar activities

Quiz Kosakata Bab 8 (Minna no Nihongo 1)

Quiz Kosakata Bab 8 (Minna no Nihongo 1)

5th Grade

20 Qs

KISWAHILI GRADE 5

KISWAHILI GRADE 5

5th Grade

20 Qs

Cherokee Spring Foods Quiz

Cherokee Spring Foods Quiz

1st - 5th Grade

20 Qs

vitendawili

vitendawili

5th Grade

15 Qs

Part 2- 2 strokes hiragana practice

Part 2- 2 strokes hiragana practice

3rd - 7th Grade

23 Qs

Position in Japanese

Position in Japanese

KG - Professional Development

15 Qs

G5/6:Name the shops! (+や・…のみせ)

G5/6:Name the shops! (+や・…のみせ)

KG - University

19 Qs

Las conjunciones

Las conjunciones

5th Grade

18 Qs

Swahili T2

Swahili T2

Assessment

Quiz

World Languages

5th Grade

Medium

Created by

Cudmore Muganzi

Used 2+ times

FREE Resource

19 questions

Show all answers

1.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 1 pt

Shairi lenye mishororo minne kila ubeti huitwaje?

Tasdisa

Tarbia

Takhmisa

Tathnia

2.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 1 pt

Ni ipi kati ya hizi ni nominoambata

genge la wezi

sukari

embedodo

hewa

3.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 1 pt

Tunasema mlolongo wa magari , vilevile tunasema--------------ya nyota.

Korija

msururu

kipeto

thurea

4.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 1 pt

Kupika chakula kwa kukichoma juu ya makaa ni mbinu ya upishi inayoitwa--------

kubanika

kutokosa

kuoka

kukaanga

5.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 1 pt

Kitenzi 'lima' katika hali ya kutendewa ni ------------------

limia

limika

limiwa

limwa

6.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 1 pt

Usaidizi wa kwanza anaopewa mtu aliyeumia kabla ya kufika kwa daktari huitwaje?

Matibabu

huduma ya kwanza

kupunguza

uponyaji

7.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 1 pt

Barua rasmi huwa na anwani ngapi?

moja

tatu

nne

mbili

Create a free account and access millions of resources

Create resources
Host any resource
Get auto-graded reports
or continue with
Microsoft
Apple
Others
By signing up, you agree to our Terms of Service & Privacy Policy
Already have an account?