Kiswahili Year 7 C.F.U 5

Kiswahili Year 7 C.F.U 5

7th Grade

15 Qs

quiz-placeholder

Similar activities

latihan soal hukum mim sukun

latihan soal hukum mim sukun

7th Grade

20 Qs

Cherokee Syllabary Vowels

Cherokee Syllabary Vowels

7th - 8th Grade

10 Qs

NPTI Bridging Kiswahili C.F.U 2

NPTI Bridging Kiswahili C.F.U 2

6th Grade - University

15 Qs

OT 2017: Concursantes

OT 2017: Concursantes

KG - Professional Development

18 Qs

Unit 6 哥哥去学校

Unit 6 哥哥去学校

7th Grade

10 Qs

Aina za maneno

Aina za maneno

5th - 8th Grade

16 Qs

CHEMSHABONGO

CHEMSHABONGO

7th Grade

20 Qs

KISWAHILI- (TUMIA -ENYE au -ENYEWE

KISWAHILI- (TUMIA -ENYE au -ENYEWE

6th - 8th Grade

15 Qs

Kiswahili Year 7 C.F.U 5

Kiswahili Year 7 C.F.U 5

Assessment

Quiz

Other

7th Grade

Medium

Created by

Philip Kobia

Used 5+ times

FREE Resource

15 questions

Show all answers

1.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

2 mins • 2 pts

Sentensi ifuatayo inahitaji alama gani?

Habari gani

(.)

(!)

(?)

(“ ”)

2.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

2 mins • 2 pts

Alama hisi huonyeshwa kwa namna gani?

(?)

(“ ”)

(!)

(,)

3.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

2 mins • 2 pts

Chagua sentensi iliyo na alama sahihi:

Jina langu ni Amina

Jina langu ni Amina!

Jina langu ni Amina.

Jina langu ni Amina?

4.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

2 mins • 2 pts

___ walicheza mpira shuleni.

Mimi

Yeye

Wao

Sisi

5.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

2 mins • 2 pts

___ ninapenda kusoma vitabu

Wewe

Mimi

Yeye

Wao

6.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

2 mins • 2 pts

___ anakimbia haraka sana.

Wao

Yeye

Mimi

Sisi

7.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

2 mins • 2 pts

Nani anayepanda mazao shambani?

Mwalimu

Mkulima

Mpishi

Fundi

Create a free account and access millions of resources

Create resources
Host any resource
Get auto-graded reports
or continue with
Microsoft
Apple
Others
By signing up, you agree to our Terms of Service & Privacy Policy
Already have an account?