NPTI Bridging Kiswahili C.F.U 2

NPTI Bridging Kiswahili C.F.U 2

6th Grade

15 Qs

quiz-placeholder

Similar activities

ZOEZI

ZOEZI

6th Grade

20 Qs

Kiswahili

Kiswahili

9th Grade

18 Qs

Kiswahili Year 7 C.F.U 5

Kiswahili Year 7 C.F.U 5

7th Grade

15 Qs

KISWAHILI GREDI YA 7

KISWAHILI GREDI YA 7

7th Grade

10 Qs

SAVE ONE DROP SAVE ALL THE WORLD NACİYE HAVVA MANAVUŞAK

SAVE ONE DROP SAVE ALL THE WORLD NACİYE HAVVA MANAVUŞAK

1st Grade - University

10 Qs

Yaşam bulguları ve bilinç durumu

Yaşam bulguları ve bilinç durumu

9th Grade

18 Qs

CHEMSHABONGO

CHEMSHABONGO

7th Grade

20 Qs

Aina za maneno

Aina za maneno

5th - 8th Grade

16 Qs

NPTI Bridging Kiswahili C.F.U 2

NPTI Bridging Kiswahili C.F.U 2

Assessment

Quiz

Other

6th Grade

Medium

Created by

Philip Kobia

Used 1+ times

FREE Resource

15 questions

Show all answers

1.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

2 mins • 1 pt

Neno “mwalimu” ni aina gani ya neno?

Kitenzi

Nomino

Kivumishi

Kiwakilishi

2.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

2 mins • 1 pt

Chagua kitenzi kati ya haya maneno.

Paka

Kimbia

Meza

Kitabu

3.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

2 mins • 1 pt

Nomino hutumika kwa ajili ya...?

Kuonyesha matendo

Kuonyesha wakati

Kutaja majina ya watu, mahali au vitu

Kuunganisha sentensi

4.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

2 mins • 1 pt

Neno “na” linajulikana kama...?

Kiunganishi

Kitenzi

Nomino

Kihusishi

5.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

2 mins • 1 pt

Ni ipi kati ya hizi ni nusu saa?

Saa mbili kamili

Saa tatu na dakika ishirini

Dakika thelathini

Dakika themanini

6.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

2 mins • 1 pt

Dakika robo ni...?

Dakika ishirini

Dakika tano

Dakika arubaini na tano

Dakika kumi na tano

7.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

2 mins • 1 pt

Ni sentensi ipi inayoonyesha matumizi sahihi ya kitenzi?

Kitabu juu ya meza

Mbwa anakimbia haraka

Saa nne kasorobo

Meza ina jina

Create a free account and access millions of resources

Create resources
Host any resource
Get auto-graded reports
or continue with
Microsoft
Apple
Others
By signing up, you agree to our Terms of Service & Privacy Policy
Already have an account?