
MASWALI MSETO YA NGELI
Authored by Yaddar Abisai
World Languages
5th Grade
Used 2+ times

AI Actions
Add similar questions
Adjust reading levels
Convert to real-world scenario
Translate activity
More...
Content View
Student View
10 questions
Show all answers
1.
MULTIPLE CHOICE QUESTION
2 mins • 10 pts
Chagua wingi wa sentensi hii...
Mwanafunzi mwenye bidii ni huyu.
Wanafunzi wenye bidii ni huyu.
Wanafunzi wenye bidii ni hawa.
Wanafunzi wenye bidii ni hao.
Wanafunzi wenye bidii ni wale.
2.
MULTIPLE CHOICE QUESTION
2 mins • 10 pts
Ni nomino gani inapatikana katika ngeli ya YA-YA?
Marashi.
Mawe.
Mawingu.
Maswali.
3.
MULTIPLE CHOICE QUESTION
2 mins • 10 pts
Nomino makobe inapatikana katika ngeli ipi?
YA-YA
U-YA
LI-YA
A-WA
4.
FILL IN THE BLANK QUESTION
2 mins • 10 pts
Andika wingi wa neno NYANI
5.
MULTIPLE CHOICE QUESTION
2 mins • 10 pts
Kamilisha sentensi kwa kuchagua jibu lifaalo...
Kiatu _________ kilinunuliwa jana kimeraruka.
ambayo
ambacho
ambako
ambavyo
6.
MULTIPLE CHOICE QUESTION
3 mins • 10 pts
Chagua umoja wa sentensi hii...
Nguo za watoto zimepigwa pasi zikapendeza.
Nguo ya mtoto imepigwa pasi ikapendeza.
Nguo ya mtoto imepigwa pasi likapendeza.
Manguo ya watoto yamepigwa pasi yakapendeza.
Nguo wa mtoto amepigwa pasi akapendeza.
7.
FILL IN THE BLANK QUESTION
2 mins • 10 pts
Ni nini umoja wa nomino NYWELE?
Access all questions and much more by creating a free account
Create resources
Host any resource
Get auto-graded reports

Continue with Google

Continue with Email

Continue with Classlink

Continue with Clever
or continue with

Microsoft
%20(1).png)
Apple
Others
Already have an account?