MISEMO ZA KISWAHILI

MISEMO ZA KISWAHILI

1st - 5th Grade

8 Qs

quiz-placeholder

Similar activities

Untitled Quiz

Untitled Quiz

1st - 5th Grade

10 Qs

Quiz Cerita Rakyat Bawi Kuwu Tumbang Rakumpit

Quiz Cerita Rakyat Bawi Kuwu Tumbang Rakumpit

2nd Grade

10 Qs

protection du consommateurs en ligne

protection du consommateurs en ligne

1st Grade

10 Qs

Hector le castor

Hector le castor

1st - 5th Grade

10 Qs

Exercises d'écoute

Exercises d'écoute

1st Grade

10 Qs

Bumi dan Antariksa

Bumi dan Antariksa

1st Grade

10 Qs

PROPOSITIONS JUXTAPOSÉES, COORDONNÉES, SUBORDONNÉES

PROPOSITIONS JUXTAPOSÉES, COORDONNÉES, SUBORDONNÉES

2nd Grade - University

10 Qs

गणित

गणित

2nd Grade

5 Qs

MISEMO ZA KISWAHILI

MISEMO ZA KISWAHILI

Assessment

Quiz

Others

1st - 5th Grade

Easy

Created by

ANTONY WAFULA

Used 1+ times

FREE Resource

8 questions

Show all answers

1.

OPEN ENDED QUESTION

10 mins • 1 pt

Misemo ni kauli fupifupi ambazo hutumiwa na jamii kusisitiza ukweli wa jambo fulani. Kauli hizi huunganisha mawazo au dhana tofauti kuwa mwili mmoja na kupitisha ujumbe uliodhamiriwa na mnenaji au mwaandishi.

  1. Kupata jiko - - - - - - Kuoa

  2. Kuangusha uso---- Kupata aibu

  3. kuenda mbwehu---- Kutoa hewa mdomoni(kuenda mbwehu ugenini ni dalili ya ulafi😂😀😀😀)

  4. Enda msobemsobe - - - - Kuenda pasipo utaratibu. Pia bila hiari. Mf: Maria alienda dukani msobemsobe.

  5. Enda mvange----Mambo kuenda vibaya au kuharibika

  6. chokoza nyuki mzingani---- Kuenda palipo na hatari.

  7. Anua majamvi/kunja majamvi---- Tamatisha jambo au kauli.

  8. Kupakwa mafuta kwa mgongo wa chupa/kuvalishwa kilemba cha ukoka----- Kumpa mtu au kitu sifa zisizostahili

  9. Bura yangu sibadili na rehani----- Ina maana kuwa hauwezi abadani kuacha chako ulichokipenda hata kama watakupa kitu kingine kipya zaidi ya kile ulichonacho

  10. Mungu hakupi kilema akakunyima mwendo----- Tosheka na ulichonacho.

  11. Mlevi haukubali ulevi, 😂😂😂😂. - - - - - "Je, umelewa?" Aliulizwa mlevi mmoja. "Mimi... Aaah... Mimi!.. Sijalewa mimi!! Nipo best!! 😢 😂 😀

  12. Maji ya kifuu bahari ya chungu----- Jambo dogo humnufaisha mtu akilifanya bila kuchoka.

Je, Msemo ni nini?

Evaluate responses using AI:

OFF

2.

OPEN ENDED QUESTION

5 mins • 1 pt

Alitueleza sifa za mtu fulani ila hafai hizo sifa. Taja msemo unaokamilisha hili.

Evaluate responses using AI:

OFF

3.

OPEN ENDED QUESTION

5 mins • 1 pt

Mtoto aliponunuliwa shati jipya, alikataa kuwacha lile lake la zamani. Je, msemo upi unatumika hapa?

Evaluate responses using AI:

OFF

4.

OPEN ENDED QUESTION

5 mins • 1 pt

Leah alipatikana akimchapa mtoto waziwazi ila alikataa abadani katani eti hata hakumgusa. Taja msemo unaotumika hapa

Evaluate responses using AI:

OFF

5.

OPEN ENDED QUESTION

5 mins • 1 pt

Taja msemo ambao umetumika katika taarifa hii.

"Aliyekuwa mfugaji wa kuku kijijini Tasha, hatimaye baada ya miaka mitano sasa amejenga jumba la kifahari lililogharimu shilingi milioni saba🤔🤔".

Evaluate responses using AI:

OFF

6.

OPEN ENDED QUESTION

5 mins • 1 pt

Taja msemo.

Petro hufanya mambo yake bila utaratibu wowote

Evaluate responses using AI:

OFF

7.

OPEN ENDED QUESTION

3 mins • 1 pt

Taja msemo.

Baba alioa mke wa pili

Evaluate responses using AI:

OFF

8.

OPEN ENDED QUESTION

3 mins • 1 pt

Je, kipindi Hiki kimekupendeza?

  1. Ndio

  2. Kimenitoa jasho sana

  3. Tufanye kila wakati

Jibu: 1 au 2 au 3. Usiweke jawabu mbili.

Evaluate responses using AI:

OFF