KISWAHILI - JUMATANO 20, NOVEMBA

KISWAHILI - JUMATANO 20, NOVEMBA

7th Grade

5 Qs

quiz-placeholder

Similar activities

Kiswahili

Kiswahili

7th Grade

10 Qs

Kiswahili -ingi na -ngine

Kiswahili -ingi na -ngine

5th - 7th Grade

10 Qs

Nomino

Nomino

5th - 7th Grade

5 Qs

Farmacopea

Farmacopea

1st Grade - University

5 Qs

KISWAHILI - JUMATANO 20, NOVEMBA

KISWAHILI - JUMATANO 20, NOVEMBA

Assessment

Quiz

Other

7th Grade

Medium

Created by

ELITE TEAM

Used 3+ times

FREE Resource

5 questions

Show all answers

1.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

1 min • 10 pts

Chagua nomino ambayo ni dhahania kati ya hizi.

mchele

mkono

ugali

wema

2.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

1 min • 10 pts

Kuimba

Kucheza

Kulima

Kuandika

NomIno hizi zote zinapatikana katika kundi lipi?

Nomino za pekee

Nomino za jamii

Vitenzijina

Nomino za kawaida

3.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

2 mins • 10 pts

Andika sentensi hii katika wingi.

Mguu wa kobe umevimba.

Miguu ya kobe imevimba.

Miguu ya Makobe imevimba.

Miguu ya kobe zimevimba.

Miguu za makobe zimevimba.

4.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

3 mins • 10 pts

Chagua sentensi iliyoandikwa sahihi.

Genge la wezi walivunja nyumba yetu.

Mlolongo wa magari yalikuwa mengi

Kipeto cha barua kilianguka majini.

Tone la maji mahafu yalianguka kwenye kikombe.

5.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

5 mins • 10 pts

Andika sentensi hii katika kauli ya kutendwa.

Jabali alikipika chakula kitamu sana.

Chakula kitamu sana kilipikiwa Jabali.

Chakula kitamu sana kilipikwa na Jabali.

Jabali alipikiwa chakula kitamu sana.

Jabali walipikiana chakula kitamu sana.