KUDURUSU KWA MTIHANI - A

KUDURUSU KWA MTIHANI - A

7th Grade

15 Qs

quiz-placeholder

Similar activities

Ngeli

Ngeli

5th - 10th Grade

10 Qs

VIVUMISHI

VIVUMISHI

7th Grade

12 Qs

1A From Rome by plane Fra Roma med fly

1A From Rome by plane Fra Roma med fly

6th - 8th Grade

15 Qs

Lugha

Lugha

7th - 8th Grade

15 Qs

kiswahili

kiswahili

7th Grade

10 Qs

KISWAHILI DARASA LA SABA 002 2021

KISWAHILI DARASA LA SABA 002 2021

7th Grade

20 Qs

Vilket språk är det?

Vilket språk är det?

1st Grade - Professional Development

10 Qs

Kiswahili

Kiswahili

6th - 8th Grade

15 Qs

KUDURUSU KWA MTIHANI - A

KUDURUSU KWA MTIHANI - A

Assessment

Quiz

World Languages

7th Grade

Medium

Created by

Yaddah Okillah

Used 2+ times

FREE Resource

15 questions

Show all answers

1.

MULTIPLE SELECT QUESTION

2 mins • 10 pts

Teua vipengele viwili vya kuzingatia UNAPOSIKILIZA mazungumzo.

Kumkata kalima mzungumzaji

Kumtazama mzungumzaji uso kwa uso

kutojibu maswali kwa zamu

Kutikisa kichwa juu na chini unaposikiliza

2.

MULTIPLE SELECT QUESTION

2 mins • 10 pts

Taja vipengele viwili vya kuzingatia katika KUJIBU mazungumzo.

Kutumia lugha ya adabu.

Kujikita katika swali lililoulizwa unapojibu.

Kutazama huku na kule unapojibu

Kuongea kwa sauti hafifu.

3.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

1 min • 10 pts

Alama hii ya kuakifisha inaitwaje?

?

kikomo

koma

herufi kubwa

alama ya kuulizia au kiulizio.

4.

FILL IN THE BLANK QUESTION

1 min • 10 pts

Ni nini ukubwa wa neno ng'ombe?

5.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

2 mins • 10 pts

Chagua ukubwa wa sentensi hii.

Mtoto alimfunga ng'ombe mweusi.

Watoto waliwafunga ng'ombe weusi

Matoto yaliyafunga magombe meusi

Toto lililifunga gombe jeusi

Kitoto kilikifunga kigombe cheusi

6.

MULTIPLE SELECT QUESTION

2 mins • 10 pts

Chagua vipera vya fasihi andishi.

nyimbo

novela

diwani

riwaya

7.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

2 mins • 10 pts

Gani kati ya hizi si aina ya nomino?

Nomino za pekee

Nomino za makundi

Nomino ambata

Nomino vihusishi

Create a free account and access millions of resources

Create resources
Host any resource
Get auto-graded reports
or continue with
Microsoft
Apple
Others
By signing up, you agree to our Terms of Service & Privacy Policy
Already have an account?