MASWALI

MASWALI

6th Grade

50 Qs

quiz-placeholder

Similar activities

Cuestionario sobre el Alzheimer

Cuestionario sobre el Alzheimer

1st Grade - University

50 Qs

Soal PTS Bahasa Indonesia Kelas 6 Kumer

Soal PTS Bahasa Indonesia Kelas 6 Kumer

6th Grade

50 Qs

Quiz Pemahaman Materi Bahasa Indonesia

Quiz Pemahaman Materi Bahasa Indonesia

6th Grade

45 Qs

Ujian Sekolah Bahasa Indonesia

Ujian Sekolah Bahasa Indonesia

6th Grade - University

48 Qs

HIRAGANA 50 SOAL

HIRAGANA 50 SOAL

KG - University

50 Qs

teka teki mengelirukan

teka teki mengelirukan

6th Grade

46 Qs

G6 Filipino 2nd FA Reviewer

G6 Filipino 2nd FA Reviewer

6th Grade

55 Qs

MASWALI

MASWALI

Assessment

Quiz

Other

6th Grade

Medium

Created by

DANSON KAMANDE

Used 9+ times

FREE Resource

50 questions

Show all answers

1.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

1 min • 6 pts

Je,nomino mkoba inapatikana katika ngeli gani?

U-U

I-ZI

U-I

U-YA

2.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

1 min • 6 pts

Jaza pengo.

________ tunapenda kusoma vitabu vya hadithi.

wewe

mimi

sisi

wao

3.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

1 min • 6 pts

Nyambua kitenzi ogopa katika kauli ya kutendesha.

ogofya

ogopwa

ogopesa

ogopeza

4.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

1 min • 6 pts

Ukitaka kupima kilo ya sukari utatumia nini?

utepe

rula

mizani

timazi

5.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

1 min • 6 pts

Ukitaka kumpima mtu nguo utatumia nini?

utepe

mizani

timazi

randa

6.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

1 min • 6 pts

Tumia amba kwa usahihi.

Mvua _____ hunyesha vizuri huleta manufaa.

ambayo

ambao

ambalo

ambazo

7.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

1 min • 6 pts

Sentensi ifuatayo iko katika wakati gani?

Sijafika mapema wala sijampata.

uliopo

timilifu

uliopita

ujao

Create a free account and access millions of resources

Create resources
Host any resource
Get auto-graded reports
or continue with
Microsoft
Apple
Others
By signing up, you agree to our Terms of Service & Privacy Policy
Already have an account?