UKUBWA NA UDOGO WA NOMINO

UKUBWA NA UDOGO WA NOMINO

6th Grade

25 Qs

quiz-placeholder

Similar activities

KIS 6

KIS 6

6th Grade

25 Qs

Sarufi:Aina  za Maneno

Sarufi:Aina za Maneno

5th - 12th Grade

25 Qs

Sarufi :Aina Za Maneno.

Sarufi :Aina Za Maneno.

5th - 12th Grade

25 Qs

KIFARU

KIFARU

KG - 12th Grade

20 Qs

Kiswahili viunganishi

Kiswahili viunganishi

5th - 8th Grade

25 Qs

ZOEZI

ZOEZI

6th Grade

20 Qs

AINA ZA MANENO

AINA ZA MANENO

6th - 9th Grade

24 Qs

Kiswahili Vihusishi

Kiswahili Vihusishi

5th - 8th Grade

25 Qs

UKUBWA NA UDOGO WA NOMINO

UKUBWA NA UDOGO WA NOMINO

Assessment

Quiz

Other

6th Grade

Medium

Created by

DANSON KAMANDE

Used 5+ times

FREE Resource

25 questions

Show all answers

1.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

1 min • 4 pts

Andika ukubwa wa nomino zifuatazo.

Mtoto

litoto

jitoto

toto

kitoto

2.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

1 min • 4 pts

Mto ni kwa jito kama vile mji ni kwa ___________

jiji

kijiji

jijiji

kiji

3.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

1 min • 4 pts

Andika sentensi ifuatayo kwa ukubwa.

Mpira wa mtoto umeanguka kwenye mto.

pira la kitoto limeanguka kwenye jito

lipira la litoto limeanguka kwenye lito

pira la toto limeanguka kwenye jito.

Jipira la litoto limeanguka kwenye jito

4.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

1 min • 4 pts

Andika ukubwa wa Mbwa

kibwa

jibwa

kijibwa

mjibwa

5.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

1 min • 4 pts

Andika umoja wa sentensi ifuatayo.

Majibwa yamelishwa na matoto yakashiba.

maumbwa yamelishwa na matoto yakashiba

mbwa amelishwa na mtoto akashiba

kijibwa kimelishwa na mtoto kikashiba

jibwa limelishwa na toto likashiba

6.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

1 min • 4 pts

Andika ukubwa wa mke.

kijike

mjike

jike

kike

7.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

1 min • 4 pts

mchi ni kwa jichi kama vile mti ni kwa____________

jiti

mmiti

kijiti

majiti

Create a free account and access millions of resources

Create resources
Host any resource
Get auto-graded reports
or continue with
Microsoft
Apple
Others
By signing up, you agree to our Terms of Service & Privacy Policy
Already have an account?