
Kiswahili
Authored by Cudmore Muganzi
Other
7th Grade
Used 7+ times

AI Actions
Add similar questions
Adjust reading levels
Convert to real-world scenario
Translate activity
More...
Content View
Student View
10 questions
Show all answers
1.
MULTIPLE CHOICE QUESTION
30 sec • 1 pt
Andika ukubwa wa : Mtoto yule amefika mapema.
Matoto yule amefika mapema
Jitoto lile amefika mapema
Toto lile limefika mapema
Matoto yale amefika mapema
2.
MULTIPLE CHOICE QUESTION
30 sec • 1 pt
Watoto walikuwa wakicheza wageni walipowasili.
Sentensi hii iko katika wakati upi?
Uliopo
uliopita
ujao hali ya kuendelea
uliopita hali ya kuendelea
3.
MULTIPLE CHOICE QUESTION
30 sec • 1 pt
Chagua wingi wa sentensi hii.
Seremala alibeba mkunga kwenye kikapu chake.
Seremala alibeba mikunga kwenye kikapu chake
Maseremala walibeba mikinga kwenye vikapu vyao
Mseremala walibeba mikunga kwenye vikapu vyake
Seremala alibeba mikunga kwenye vikapu vyake.
4.
MULTIPLE CHOICE QUESTION
30 sec • 1 pt
Ni ipi kati ya hizi ni nomino dhahania
sukari
hewa
mwanamaji
Otieno
5.
MULTIPLE CHOICE QUESTION
30 sec • 1 pt
Ni ipi kati ya hizi si umuhimu wa fasihi
kuadhibu
kufurahisha
kuelimisha
kuburudisha
6.
MULTIPLE CHOICE QUESTION
30 sec • 1 pt
Tambua mbinu ya lugha iliyotumika kwenye sentensi hii.
Kijana huyo ni chiriku. Anaweza akatamka maneno mia moja kwa dakika moja
methali
Tanakali ya sauti
Tashbihi
Istiara
7.
MULTIPLE CHOICE QUESTION
30 sec • 1 pt
Mtu anayesimulia fasihi simulizi huitwa
mtiaji
msomaji
fanani
mhadithi
Access all questions and much more by creating a free account
Create resources
Host any resource
Get auto-graded reports

Continue with Google

Continue with Email

Continue with Classlink

Continue with Clever
or continue with

Microsoft
%20(1).png)
Apple
Others
Already have an account?