KISWAHILI
Quiz
•
Education
•
4th Grade
•
Hard
DANSON KAMANDE
Used 38+ times
FREE Resource
20 questions
Show all answers
1.
MULTIPLE CHOICE QUESTION
1 min • 5 pts
Picha hii ina mmea mchanga. Je, mmea mchanga huitwaje?
mchi
mche
mimea
mparachichi
2.
MULTIPLE CHOICE QUESTION
1 min • 5 pts
Andika sentensi ifuatayo kwa umoja?
Mihogo yao imeiva.
mhogo wake umeiva
muhogo wake umeiva
muhogo wao umeiva
muhogo wangu umeiva
3.
MULTIPLE CHOICE QUESTION
1 min • 5 pts
Mmea unaozaa kahawa huitwa_______
mche
kahawa
mbuni
mgomba
4.
MULTIPLE CHOICE QUESTION
1 min • 5 pts
Ndizi huwa na utamu mwingi. Je, mmea unaozaa ndizi huitwaje?
mndizi
mpera
mpunga
mgomba
5.
MULTIPLE CHOICE QUESTION
1 min • 5 pts
Mmea huu huzaa maembe. Wingi wake ni miembe. Umoja wa miembe ni __________
embe
myembe
mwembe
muhogo
6.
MULTIPLE CHOICE QUESTION
1 min • 5 pts
Mmea huu huitwa mpunga. Je, unazaa zao gani?
wali
mchele
parachichi
mahindi
7.
MULTIPLE CHOICE QUESTION
1 min • 5 pts
Mtu anayeimba mashairi huitwa_____
mshororo
manju
malenga
mghani
Create a free account and access millions of resources
Create resources
Host any resource
Get auto-graded reports

Continue with Google

Continue with Email

Continue with Classlink

Continue with Clever
or continue with

Microsoft
%20(1).png)
Apple

Others
By signing up, you agree to our Terms of Service & Privacy Policy
Already have an account?
Popular Resources on Wayground
20 questions
Brand Labels
Quiz
•
5th - 12th Grade
10 questions
Ice Breaker Trivia: Food from Around the World
Quiz
•
3rd - 12th Grade
25 questions
Multiplication Facts
Quiz
•
5th Grade
20 questions
ELA Advisory Review
Quiz
•
7th Grade
15 questions
Subtracting Integers
Quiz
•
7th Grade
22 questions
Adding Integers
Quiz
•
6th Grade
10 questions
Multiplication and Division Unknowns
Quiz
•
3rd Grade
10 questions
Exploring Digital Citizenship Essentials
Interactive video
•
6th - 10th Grade