Kiswahili Gredi ya 8

Kiswahili Gredi ya 8

8th Grade

6 Qs

quiz-placeholder

Similar activities

French

French

KG - Professional Development

6 Qs

Test van delft

Test van delft

1st - 12th Grade

3 Qs

KISWAHILI

KISWAHILI

8th Grade

10 Qs

Kiswahili Gredi ya 8

Kiswahili Gredi ya 8

Assessment

Quiz

Other

8th Grade

Medium

Created by

KIPKORIR MUTAI

Used 3+ times

FREE Resource

6 questions

Show all answers

1.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 1 pt

Tambua alama hisi.

!

?

:

2.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 1 pt

Kati ya maneno uliyopewa ni neno gani lisilo kiwakilishi cha nafsi.

Nyinyi

Wao

Huyo

Wewe

3.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

1 min • 1 pt

Tambua alama ya ritifaa.

?

!

`

''

4.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 1 pt

Chagua kiwakilishi cha idadi kinachofaa kujaza nafasi zilizoachwa.

a)......................yaliyonunuliwa katika soko hilo.

Mingi

Nne

Minne

Manne

5.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 1 pt

b) Meza zenyewe ni kubwa,.......... Sina vitabu kuhusu usafi

Mingi

Nne

Minne

Manne

6.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 1 pt

Orodha hii ina mbinu za lungha zinazopatikana katika mighani, isipokua gani?

Takriri

Chuku

Maudhui

Taswira