Let's Go

Let's Go

6th Grade

20 Qs

quiz-placeholder

Similar activities

可加五六年级华语-啊,不,一的变调

可加五六年级华语-啊,不,一的变调

4th - 6th Grade

20 Qs

YEAR 5 CAT

YEAR 5 CAT

5th - 6th Grade

20 Qs

HHS Darasa la 5EAST Kiswahili CAT

HHS Darasa la 5EAST Kiswahili CAT

4th - 6th Grade

20 Qs

Minna no Nihon'go Bab 9

Minna no Nihon'go Bab 9

6th - 8th Grade

20 Qs

Direction Phrases (Romaji)

Direction Phrases (Romaji)

5th - 8th Grade

20 Qs

五年级华语

五年级华语

6th Grade

15 Qs

Japanese: Greetings, Introductions & Farewells

Japanese: Greetings, Introductions & Farewells

6th - 8th Grade

20 Qs

Hiragana Word Reading 1

Hiragana Word Reading 1

KG - University

20 Qs

Let's Go

Let's Go

Assessment

Quiz

World Languages

6th Grade

Hard

Created by

Mwalimu Odima

Used 4+ times

FREE Resource

20 questions

Show all answers

1.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

20 sec • 1 pt

Ipi si alama ya kuakifisha?

Kitone

Herufi kubwa

Kipasuo

Kikomo

2.

MULTIPLE SELECT QUESTION

45 sec • 1 pt

Kitone hutumika______________ (Chagua mawili)

Mwanzoni mwa sentensi

Mwishoni mwa sentensi.

Kuonyesha orodha

Katika tarehe

3.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

20 sec • 1 pt

Koma hutumika ____________

Kutenganisha vitu karika orodha

Mwanzoni mwa sentensi

Mwishoni mwa sentensi

Kuuliza swali

4.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 1 pt

Ipi si matumizi ya kitone.

Kuonyesha saa

Kufupisha maneno

Kutoa maelezo zaidi

Katika anwani

5.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 2 pts

Akifisha sentensi hii.

amina ni mtoto wa kwanza wa farah na aisha

Amina, ni mtoto wa kwanza wa Farah na Aisha

amina ni Mtoto wa Kwanza wa Farah na aisha

Amina ni mtoto wa kwanza wa Farah na Aisha.

Amina ni mtoto wa kwanza, wa Farah, na Aisha

6.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 2 pts

Akifisha sentensi hii.

martin mwalimu wetu alikua amebeba mkoba kalamu kikokotoo na makasi

Martin. Mwalimu wetu alikua amebeba mkoba kalamu kikokotoo na makasi.

Martin, mwalimu wetu, alikua amebeba mkoba, kalamu, kikokotoo na makasi.

Martin Mwalimu wetu alikua amebeba mkoba, kalamu, kikokotoo, na makasi.

martin Mwalimu wetu alikua amebeba mkoba. kalamu. kikokotoo na makasi.

7.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

20 sec • 1 pt

Kiakifishi kipi hutumiwa mwanzoni mwa sentensi?

Herufi kubwa

Kitone

Kituo

Akronimu

Create a free account and access millions of resources

Create resources
Host any resource
Get auto-graded reports
or continue with
Microsoft
Apple
Others
By signing up, you agree to our Terms of Service & Privacy Policy
Already have an account?