SHULE YA MOUNTAIN VIEW QUIZ DARASA LA 6

SHULE YA MOUNTAIN VIEW QUIZ DARASA LA 6

6th Grade

10 Qs

quiz-placeholder

Similar activities

HHS Class 6 (vitawe)

HHS Class 6 (vitawe)

6th - 8th Grade

10 Qs

PANGNGALAN

PANGNGALAN

3rd - 6th Grade

10 Qs

Hiragana MURASAKI (purple) Belt

Hiragana MURASAKI (purple) Belt

KG - University

10 Qs

KISWAHILI

KISWAHILI

4th - 8th Grade

12 Qs

MAHAKAMANI

MAHAKAMANI

6th - 10th Grade

10 Qs

Vitendawli

Vitendawli

4th - 6th Grade

11 Qs

GAME 1

GAME 1

1st Grade - University

12 Qs

な、は、ま Hiragana Quiz

な、は、ま Hiragana Quiz

KG - 9th Grade

15 Qs

SHULE YA MOUNTAIN VIEW QUIZ DARASA LA 6

SHULE YA MOUNTAIN VIEW QUIZ DARASA LA 6

Assessment

Quiz

World Languages

6th Grade

Hard

Created by

S Kariuki

Used 3+ times

FREE Resource

10 questions

Show all answers

1.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

1 min • 1 pt

Nomino mjusi ni katika ngeli gani?

U - I

I - ZI

A - WA

I - I

2.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

1 min • 1 pt

Chagua salamu za jioni.

sabalkheri

makiwa

hujambo

masalkheri

3.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

1 min • 1 pt

Media Image

Tambua jina la maumbo haya

pia , wimbi

kopa, zigizagi

zigizagi, wimbi

wimbi, pia

4.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

1 min • 1 pt

Andika tarakimu ifuatayo kwa maneno.

10,010

elfu kumi na kumi

kumi elfu na kumi

elfu kumi na kumi na moja

kumi na kumi elfu

5.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

1 min • 1 pt

Andika ukanusho wa:

Angesoma angefaulu.

hangesoma hangefaulu

asingalisoma asingalifaulu

asingesoma asingalifaulu

asingesoma asingefaulu

6.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

1 min • 1 pt

_____ ni kwa udongo kama vile shungi ni kwa nywele.

numbi

umati

shumbi

tanoo

7.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

1 min • 1 pt

Ni sentensi ipi inayoosha masharti?

nenda shambani ulime

ukimwona umsalimu

mama angeenda asingefika

mwalimu huwapenda watoto wenye bidii.

Create a free account and access millions of resources

Create resources
Host any resource
Get auto-graded reports
or continue with
Microsoft
Apple
Others
By signing up, you agree to our Terms of Service & Privacy Policy
Already have an account?