Lugha

Lugha

7th - 8th Grade

15 Qs

quiz-placeholder

Similar activities

KISWAHILI DARASA LA SABA 002 2021

KISWAHILI DARASA LA SABA 002 2021

7th Grade

20 Qs

KISWAHILI 005 2021

KISWAHILI 005 2021

8th Grade

16 Qs

KISWAHILI DARASA LA 8

KISWAHILI DARASA LA 8

8th Grade

10 Qs

Lugha

Lugha

7th - 8th Grade

15 Qs

VIVUMISHI

VIVUMISHI

7th Grade

12 Qs

KUDURUSU KWA MTIHANI - A

KUDURUSU KWA MTIHANI - A

7th Grade

15 Qs

Kiswahili

Kiswahili

8th Grade

20 Qs

MAREJELEO YA KISWAHILI

MAREJELEO YA KISWAHILI

7th Grade

15 Qs

Lugha

Lugha

Assessment

Quiz

World Languages

7th - 8th Grade

Hard

Created by

Rukiyah Kadzo

Used 1+ times

FREE Resource

15 questions

Show all answers

1.

FILL IN THE BLANK QUESTION

1 min • 5 pts

Mtoto mzuri husoma kwa bidii. Maneno mzuri na kwa bidii ni ania gani ya maneno

2.

FILL IN THE BLANK QUESTION

1 min • 5 pts

Tambua matumizi ya po .

Alipofika tulikuwa tukidurusu darasani.

3.

FILL IN THE BLANK QUESTION

1 min • 5 pts

Kanusha :Angetia bidii masomoni angepita mtihani.

4.

FILL IN THE BLANK QUESTION

1 min • 5 pts

Kamilisha tashbihi:

Lingana kama

5.

FILL IN THE BLANK QUESTION

1 min • 5 pts

Mstari wa pili katika kila ubeti wa shairi huitwa

6.

FILL IN THE BLANK QUESTION

1 min • 5 pts

Andika kwa wingi.

Kobe wake ana gamba zuri.

7.

FILL IN THE BLANK QUESTION

1 min • 5 pts

Gari lilifika kituoni saa sita kamili.

Wakati huu huitwa

Create a free account and access millions of resources

Create resources
Host any resource
Get auto-graded reports
or continue with
Microsoft
Apple
Others
By signing up, you agree to our Terms of Service & Privacy Policy
Already have an account?