
SIKU NJEMA
Authored by Yaddar Abisai
Other
6th - 7th Grade
Used 5+ times

AI Actions
Add similar questions
Adjust reading levels
Convert to real-world scenario
Translate activity
More...
Content View
Student View
11 questions
Show all answers
1.
MULTIPLE CHOICE QUESTION
3 mins • 1 pt
Mhusika mkuu katika hadithi ya Siku Njema alikuwa na wanuna wangapi?
Wawili
Wanne
Sufuri
Mmoja
Answer explanation
Kungowea Mswahili alizaliwa peke yake kwa wazazi ambao hawakuwahi kuoona.
2.
MULTIPLE CHOICE QUESTION
3 mins • 1 pt
Chagua neno baki.
zani
aula
-ema
bora
3.
MULTIPLE CHOICE QUESTION
3 mins • 1 pt
Mama yake Msanifu Kombo alikuwa na wanuna wangapi?
Mmoja
Watatu
Wawili
Kumi na wawili
Answer explanation
Mama wa Msanifu Kombo alikuwa msichana wa pekee kwa familia ya ndugu watatu. Yeye na wavulana wawili kwa majina Salim Makame na Kitwana Makame
4.
MULTIPLE CHOICE QUESTION
3 mins • 1 pt
Je, Msanifu Kombo alikosa sifa gani kati ya hizi?
papara
upole
bidii
huruma
Answer explanation
Papara ni hali ya kufanya mambo bila kuyawazia kwanza
5.
MULTIPLE CHOICE QUESTION
3 mins • 1 pt
Chagua maelezo yaliyo sahihi
Mamaye Mswahili alikuwa mke wa mwisho katika famila ya Makame
Baada ya kifo cha mumewe, Zainabu aliamua kurudi alikozaliwa na hakuolewa tena.
Ndoa kati ya Juma Mkosi na Zainabu makame aliharibika kwa sababu ya dini
Bibi wa Kongowea alikuwa katika ndoa ya mitara
6.
MULTIPLE CHOICE QUESTION
3 mins • 1 pt
Taja jina rasmi la mhusika mkuu
Kongowea Mswahili
Selemani Mapunda
Vumilia Binti Abdalla
Msanifu Kombo
7.
MULTIPLE CHOICE QUESTION
3 mins • 1 pt
Kati ya wahusika hawa, ni yupi aliyewahi kumnyanganya Mswahili nguo alipokuwa akishtaki uchafu?
Amina
Vumilia
Selemani
MwanaSaumu
Access all questions and much more by creating a free account
Create resources
Host any resource
Get auto-graded reports

Continue with Google

Continue with Email

Continue with Classlink

Continue with Clever
or continue with

Microsoft
%20(1).png)
Apple
Others
Already have an account?