Kiswahili- Chemsha bongo

Kiswahili- Chemsha bongo

5th Grade - University

15 Qs

quiz-placeholder

Similar activities

Kiswahili Year 7

Kiswahili Year 7

7th Grade

11 Qs

KISWAHILI FORM 2

KISWAHILI FORM 2

11th Grade

15 Qs

KISWAHILI B1 LEVEL

KISWAHILI B1 LEVEL

11th Grade

15 Qs

NPTI Year 7 Kiswahili C.F.U 2

NPTI Year 7 Kiswahili C.F.U 2

7th Grade

15 Qs

BAHASA JEPANG

BAHASA JEPANG

KG - University

20 Qs

ZOEZI

ZOEZI

6th Grade

20 Qs

Ukanushaji

Ukanushaji

4th - 8th Grade

15 Qs

Bahasa jepang

Bahasa jepang

11th Grade

11 Qs

Kiswahili- Chemsha bongo

Kiswahili- Chemsha bongo

Assessment

Quiz

Other

5th Grade - University

Hard

Created by

Derick Kalama

Used 5+ times

FREE Resource

15 questions

Show all answers

1.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

20 sec • 1 pt

Neno 'MKONO' liko katika ngeli gani ?

A - WA

M - KO

U - I

KI - VI

2.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

20 sec • 1 pt

Anayepeleka gari la moshi anaitwa nani ?

Kandawala

Dereva

Nahodha

Piloti

3.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

20 sec • 1 pt

Maneno yapi ni vitate ?

Mkate na chai

Damu na tamu

Babu na nyanya

Kaka na dada

4.

FILL IN THE BLANK QUESTION

20 sec • 1 pt

Tumia neno sahihi badala ya neno lenye kosa.


Salimu ni mnono kama mimi .

5.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

10 sec • 1 pt

Kisawe cha tisa ni ?

Kenda

Fungate

Saba

Tatu

6.

FILL IN THE BLANK QUESTION

10 sec • 1 pt

Milioni moja ina masufuri mangapi ?

7.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

10 sec • 1 pt

Kitendawili; Mwarabu amesimama kwa mguu mmoja.

Mlingoti

Sindano

Uyoga

Hindi

Create a free account and access millions of resources

Create resources
Host any resource
Get auto-graded reports
or continue with
Microsoft
Apple
Others
By signing up, you agree to our Terms of Service & Privacy Policy
Already have an account?