KISWAHILI 002 2021

KISWAHILI 002 2021

8th Grade

15 Qs

quiz-placeholder

Similar activities

Marudio G8

Marudio G8

8th Grade

14 Qs

Sp2 - T6 - Expresiones útiles de lugar (05/03)

Sp2 - T6 - Expresiones útiles de lugar (05/03)

8th Grade

15 Qs

Mga Tauhan ng "Florante at Laura"

Mga Tauhan ng "Florante at Laura"

8th Grade

15 Qs

Direction Phrases (Romaji)

Direction Phrases (Romaji)

5th - 8th Grade

20 Qs

Kiswahili

Kiswahili

6th - 8th Grade

15 Qs

masomo shuleni

masomo shuleni

6th - 8th Grade

15 Qs

Alfabēts (2) /Patskaņi/

Alfabēts (2) /Patskaņi/

6th - 8th Grade

12 Qs

Ngeli

Ngeli

5th - 10th Grade

10 Qs

KISWAHILI 002 2021

KISWAHILI 002 2021

Assessment

Quiz

World Languages

8th Grade

Hard

Created by

Samuel Wanjohi

Used 1+ times

FREE Resource

15 questions

Show all answers

1.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

20 sec • 1 pt

Wingi wa, “Ua wa nyumba yake umejengwa

na fundi mwenye bidii,” ni:

Ua wa nyumba zake umejengwa na mafundi wenye bidii.

Nyua za nyumba zao zimejengwa na mafundi wenye bidii.

Nyua za nyumba zao zimejengwa na fundi mwenye bidii.

Ua wa nyumba zao umejengwa na fundi mwenye bidii.

2.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

20 sec • 1 pt

Neno, “kiliundiwa” lina silabi ngapi?

6

3

4

5

3.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

20 sec • 1 pt

Chagua jibu lenye nomino zilizo katika ngeli ya I-ZI pekee.

pamba, taa

kucha, sahani

kuta, ngoma

nyuta, kamba

4.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

20 sec • 1 pt

Ni jibu lipi lenye maelezo sahihi?

Kipaji ni sehemu ya kichwa inayohifadhi ubongo.

Goti ni sehemu ya mguu inayounganisha muundi na wayo.

Kiwiko huunganisha kiganja na sehemu ya juu ya mkono.

Ufizi ni mfupa uliopo baina ya mdomo wa juu na wa chini.

5.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

20 sec • 1 pt

Chagua ukanusho wa:

Maembe yalitiwa kapuni yakaiva.

Maembe hayajatiwa kapuni na hayaivi.

Maembe hayakutiwa kapuni wala hayakuiva.

Maembe hayakutiwa kapuni yaive.

Maembe hayajatiwa kapuni yakaiva.

6.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

20 sec • 1 pt

Chagua jibu lenye nomino iliyoundwa kutokana na nomino.

angaza - mwanga

samehe — msamaha

babaika - babaifu

mpishi — mapishi.

7.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

20 sec • 1 pt

Usemi wa taarifa wa, “Mtavihifadhi vitabu

vyenu kwenye kabati,” mwalimu akatuambia, n1

Mwalimu alituambia kwamba tumvihifadhi vitabu vyetu kwenye kabati.

Mwalimu alituambia kwamba tungevihifadhi vitabu vyetu kwenye kabati.

Mwalimu alituambia kwamba tumevihifadhi vitabu vyetu kwenye kabati.

Mwalirnu alituambia kwamba tulivihifadhi vitabu vyetu kwenye kabati.

Create a free account and access millions of resources

Create resources
Host any resource
Get auto-graded reports
or continue with
Microsoft
Apple
Others
By signing up, you agree to our Terms of Service & Privacy Policy
Already have an account?