Kiswahili Quiz 1

Kiswahili Quiz 1

Assessment

Quiz

World Languages

9th - 10th Grade

Hard

Created by

Paul Tibi

Used 12+ times

FREE Resource

Student preview

quiz-placeholder

10 questions

Show all answers

1.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

20 sec • 1 pt

Onyesha sauti inayotamkiwa kwenye glota.

/h/

/gh/

/r/

/ch/

/sh/

2.

FILL IN THE BLANK QUESTION

45 sec • 1 pt

Tambua aina ya kivumishi iliyotumiwa katika sentensi ifuatayo:

Alitiwa mbaroni na askari kanzu.

3.

FILL IN THE BLANK QUESTION

30 sec • 1 pt

Andika/nyambua kitenzi hiki katika kauli ya kutendesha:

Ogopa.

4.

FILL IN THE BLANK QUESTION

45 sec • 1 pt

Tambua aina ya nomino katika sentensi ifuatayo:

Mwanangu ni mwogeleaji hodari.

5.

FILL IN THE BLANK QUESTION

1 min • 1 pt

TAMBUA SAJILI IFUATAYO:


Baba:Mama Kadara! Huyo mtoto wako amekuja?

Mama:Kadara ni mtoto wetu; mimi na wewe.

Baba:Hapana! Mimi sizai malaya. Huyo ni wako. Hata Bahati ni wako! Hakika wote sita ni wako.

Mama:Mume wangu unanifanya nikasirike bure tu. Mbona umeanza mafarakano tena.

6.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

20 sec • 1 pt

Tambua kikanushi ya hali ya mazoea "ki"

ja

to

ha

sipo

7.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 1 pt

Onyesha shadda katika neno lifuatalo:

Walakini (hata hivyo)

Wala'kini

Wa'lakini

Create a free account and access millions of resources

Create resources

Host any resource

Get auto-graded reports

Google

Continue with Google

Email

Continue with Email

Classlink

Continue with Classlink

Clever

Continue with Clever

or continue with

Microsoft

Microsoft

Apple

Apple

Others

Others

By signing up, you agree to our Terms of Service & Privacy Policy

Already have an account?