MATUMIZI YA -PO-

MATUMIZI YA -PO-

5th - 7th Grade

30 Qs

quiz-placeholder

Similar activities

Tahun 5 Bahasa Melayu ayat aktif ayat pasif , ayat susunan songsang, ayat perintah

Tahun 5 Bahasa Melayu ayat aktif ayat pasif , ayat susunan songsang, ayat perintah

3rd - 5th Grade

30 Qs

QUI SÓC?

QUI SÓC?

6th Grade

28 Qs

Kiswahili Toleo La 1

Kiswahili Toleo La 1

5th - 8th Grade

25 Qs

UKUBWA NA UDOGO WA NOMINO

UKUBWA NA UDOGO WA NOMINO

6th Grade

25 Qs

Maswali ya Herufi Kubwa na Kikomo

Maswali ya Herufi Kubwa na Kikomo

7th Grade

30 Qs

Ulangan Tengah Semester 2

Ulangan Tengah Semester 2

5th Grade - University

35 Qs

B arab

B arab

KG - University

25 Qs

Mahakamani

Mahakamani

6th - 8th Grade

30 Qs

MATUMIZI YA -PO-

MATUMIZI YA -PO-

Assessment

Quiz

Other

5th - 7th Grade

Easy

Created by

Weldon Korir

Used 1+ times

FREE Resource

30 questions

Show all answers

1.

FILL IN THE BLANK QUESTION

1 min • 1 pt

Andika aina ya -po- iliyotumika katika sentensi hii:

Tulipofika mvua ilianza kunyesha.

2.

FILL IN THE BLANK QUESTION

1 min • 1 pt

Andika aina ya -po- iliyotumika katika sentensi hii:

Waimbapo watu hufurahia.

3.

FILL IN THE BLANK QUESTION

1 min • 1 pt

Andika aina ya -po- iliyotumika katika sentensi hii:

Anaposimamia ni pachafu.

4.

FILL IN THE BLANK QUESTION

1 min • 1 pt

Andika aina ya -po- iliyotumika katika sentensi hii:

Wachezeapo ni safi.

5.

FILL IN THE BLANK QUESTION

1 min • 1 pt

Andika aina ya -po- iliyotumika katika sentensi hii:

Nilipomlilia aliisikia sauti ya dua langu.

6.

FILL IN THE BLANK QUESTION

1 min • 1 pt

Andika aina ya -po- iliyotumika katika sentensi hii:

Kitumbua kilipikwa mayai yalipoletwa.

7.

FILL IN THE BLANK QUESTION

1 min • 1 pt

Andika aina ya -po- iliyotumika katika sentensi hii:

Mahali alipoanguka paliacha kuota nyasi.

Create a free account and access millions of resources

Create resources
Host any resource
Get auto-graded reports
or continue with
Microsoft
Apple
Others
By signing up, you agree to our Terms of Service & Privacy Policy
Already have an account?