Kiswahili

Kiswahili

6th - 8th Grade

10 Qs

quiz-placeholder

Similar activities

Les Vacances

Les Vacances

8th Grade

11 Qs

KISWAHILI 004 2021

KISWAHILI 004 2021

8th Grade

15 Qs

KUDURUSU KWA MTIHANI - A

KUDURUSU KWA MTIHANI - A

7th Grade

15 Qs

SHULE YA MOUNTAIN VIEW QUIZ KISWAHILI DARASA LA 7

SHULE YA MOUNTAIN VIEW QUIZ KISWAHILI DARASA LA 7

7th Grade

10 Qs

MAHAKAMANI

MAHAKAMANI

6th - 10th Grade

10 Qs

It's Yummy

It's Yummy

6th Grade

14 Qs

CHEMSHABONGO DARASA LA6

CHEMSHABONGO DARASA LA6

6th Grade

10 Qs

MASWALI MSETO

MASWALI MSETO

8th Grade

10 Qs

Kiswahili

Kiswahili

Assessment

Quiz

World Languages

6th - 8th Grade

Hard

Created by

Eugene Mosoti

Used 8+ times

FREE Resource

10 questions

Show all answers

1.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 1 pt

Neno 'kiliundiwa' Lina silabi ngapi?

6

3

4

5

2.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 1 pt

Chagua jibu lenye nomino zilizo katika ngeli ya I-ZI pekee,

Pamba,taa

Kucha,sahani

Nyuta,kamba

3.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 1 pt

Ni neno lipi lenye sauti mwambatano?

Mvua

Liwa

Kunja

Wayo

4.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 1 pt

Shehena ni ya mizigo ilhali______ni la udongo

Tita

Peto

Shumbi

Bumba

5.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 1 pt

Ni jina lipi ambalo wanaume waliooa katika familia moja huitana,

Mwanyumba

Mwamu

Mkwe

Shemeji

6.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 1 pt

Sentensi,"Jedi ni ninga"imetumia tamathali gani?

Msemo

Sitiari

Tashbihi

Nahau

7.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 1 pt

Kikigongwa wanawe hutoka nje.

Kidurusi

Ngoma

Nazi

Hindi

Create a free account and access millions of resources

Create resources
Host any resource
Get auto-graded reports
or continue with
Microsoft
Apple
Others
By signing up, you agree to our Terms of Service & Privacy Policy
Already have an account?