Maneno ya Heshima

Maneno ya Heshima

5th Grade

7 Qs

quiz-placeholder

Similar activities

Kiswahili

Kiswahili

4th - 6th Grade

10 Qs

USO DE LA B

USO DE LA B

5th Grade

10 Qs

FNF

FNF

5th Grade

10 Qs

Acento prosódico y ortográfico

Acento prosódico y ortográfico

5th Grade

10 Qs

Slowness

Slowness

5th Grade

10 Qs

8 класс Передача информации в компьютерных сетях

8 класс Передача информации в компьютерных сетях

1st - 6th Grade

12 Qs

Sauti /k/

Sauti /k/

3rd Grade - University

5 Qs

Ladybug and Catnoir

Ladybug and Catnoir

KG - Professional Development

7 Qs

Maneno ya Heshima

Maneno ya Heshima

Assessment

Quiz

Other

5th Grade

Medium

Created by

Willad Nahashon

Used 6+ times

FREE Resource

7 questions

Show all answers

1.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

1 min • 1 pt

Neno la heshima la kumwomba mtu afanye jambo kwa niaba yako.

Tafadhali

Shikamoo

2.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

1 min • 1 pt

Salamu ya heshima itolewayo kwa mtu aliyekuzidi umri.

Niaje

Shikamoo

3.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

1 min • 1 pt

Neno la kuombea msamaha. Neno la kuomba upewe nafasi au usikilizwe.

Samahani

Asante

Njoo

4.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

1 min • 1 pt

Neno la kuombea msamaha kabla ya kusema jambo unalofikiria linaweza kumwudhi mtu anayekusikiliza.

Usijali

Ashakum

Shauri yako

5.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

1 min • 1 pt

Pahali pa kwendea haja.

Choo

Msalani

Maficho

6.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

1 min • 1 pt

Neno la kumwonea mtu huruma au kumsikitikia kutokana na hali mbaya k.v. ugonjwa, kuumia.

Pole

Nini

7.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

1 min • 1 pt

Neno la adabu la kuomba kupishwa njia.

Simile

Nitokee

Songa